Arsenal yamfungulia milango Ramsey, aambiwa yupo huru kuondoka Man United, Juve na Bayern za haha saini yake
Klabu ya Arsenal imemfungulia milango nyota wake, Aaron Ramsey kuwa yupo huru kuondoka mwishoni mwa msimu huu na haina mpango wa kumuongeze...


